Kwa hali hii, mchepuko hauepukiki!

Kwa hali hii, mchepuko hauepukiki!

Zekidon

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
1,903
Reaction score
569
Wakuu nyie mnadeal vipi na hawa watu wakiwa wajawazito maana naona kama hii hali sasa uzalendo unakaribia kunishinda.

Inakwenda wiki ya tatu sasa hii wakuu, sioni dalili, ni kuuguza tu!

Yale mambo muhimu hamna aisee, nimejibana ila kama shetani anazidi kuninyemelea tu!

Michepuko hoyee!
 
Sisi huwa hivi
Wawe wajawazito au wasiwe wajawazito michepuko ni lazima
Usimsingizie shetani.. Hausiki kabisa
Michepuko oyeee naunga mkono hoja
WARNING
KUMBUKA BADO KUNA UKIMWI
KUMBUKA BADO KUNA JEHANAM
 
Sisi huwa hivi
Wawe wajawazito au wasiwe wajawazito michepuko ni lazima
Usimsingizie shetani.. Hausiki kabisa
Michepuko oyeee naunga mkono hoja
WARNING
KUMBUKA BADO KUNA UKIMWI
KUMBUKA BADO KUNA JEHANAM
Hoyee!
 
Kama umo kwenye Ndoa, jikaze wewe
 
Wanaume mungu anawaona... Ila kumbuka usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzio
 
Kuwa mvumilivu tu ndio dawa ya ushindi, hayo mambo mengine nikujidangaya tu na tamaa za mwil
 
Maisha bla mchepuko n ngumu sana
 
Back
Top Bottom