kuruta ni mdudu
Member
- Dec 26, 2016
- 36
- 82
Habari zenu wana jamiiforums
Natumai mnaendelea na ujenzi wa taifa.
Case closed....
Natumai mnaendelea na ujenzi wa taifa.
Case closed....
Nawaza kutafuta mchepuko mkuuMkuu unahitaji nini hasa kutoka kwetu?
au umekuja kutujuza
piga chiniNawaza kutafuta mchepuko mkuu
Je itanisaidia kupunguza stress? Maana mke wangu nimeshakaa nae nikamwambia lakini ataelewa leo kesho yaleyale mkuu
Mkuu kabla hujamuoa hukujua hizo tabia zake au ulijua ukimuoa utazivumilia na yeye atabadilika?Nawaza kutafuta mchepuko mkuu
Je itanisaidia kupunguza stress? Maana mke wangu nimeshakaa nae nikamwambia lakini ataelewa leo kesho yaleyale mkuu
Nahofia watoto wangu kukosa malezi bora, sipendi watoto wangu waishi katika hali ya sintofahamu aiseepiga chini
oa mwingine,
Asante kwa commentasanteh sana mkuu kwa taarifa
Daah wakat wa mahusiano mke wangu alikua muelewa mkuu hata siamini kinachoendelea sasahiviMkuu kabla hujamuoa hukujua hizo tabia zake au ulijua ukimuoa utazivumilia na yeye atabadilika?
Mchepuko sio sululisho la tatizo la mkeo, tafuta njia nyingine tu
Habari zenu wana jamiiforums
Natumai mnaendelea na ujenzi wa taifa.
Najitokeza hapa kwa jambo moja ambalo linaniweka dilemma kwelikweli.
Iko hivi, Mimi ni kijana nimeoa Mke wang tumeishi takriban miaka mitatu katika ndoa ila kuna vitimbwi balaa, katika muda wote nimekua mvumilivu sana maana Mke wangu ana vimbwanga balaa, ana kero ndogo ndogo, ana maudhi mengi sana.
Simaanishi kua anachepuka hapana, ila huyu mwanamke ana mapuuza wawezi kupanga nae ratiba ya shughuli flani na baada ya muda anaibadilisha then ukimuuliza anasema ilitokea bahati mbaya , sasa hii hali imekua ikijirudia sana nishaichoka wakuu,
Mke wangu anapenda safari kama dereva aisee inaniboa sana hapendi kutulia kabisa kiguu na njia na huko kote ataleta hoja nyingi ili mradi apate ruhusa ila nishamjua ni mtembeaji.
Anapenda kuishi vizuri kuliko hali halisi ya kifedha iliyopo, hana plan ya kujibana ili tudundulize baadae tule bata kivulini, yeye Pesa iliyopo anaipangia bajeti mpaka ahakikishe inaisha yote hata kama vitu vingine havina umuhimu kununua, wote mnajua tunafanyaga mahitaji kwa kuangalia priorities sasa Mke wangu mimi majanga wakuu.
Mke wangu mgumu kuomba samahai hata akukosee ukimtuhumu utamsikia "aya" au yaishe baba flani wakati huo mi nishakua bored kweli kweli.
Sasa Mke wangu nimejitahidi kuishi nae kwa uvumilivu wa hali ya juu, sikuwahi kufikiria kumsaliti but kwa sasa naanza kuwaza kuchepuka ili akiwa ananikwaza naenda kwa mchepuko kutoa stress zangu maana hanaga kuomba samahani na akikuomba duh! Siku hiyo ujue ni siku ya kipekee sana.
Nimeanza kukubaliana na wazee na wanaume wenzangu wanaamua kuoa wake zaidi ya mmoja na wengine huamua kua walevi lengo hua ni kupunguza stress za kwenye ndoa.
Wakuu nawaza niwe na mchepuko ili nipate uwezo wa kumpuuza mke wangu anaponiharibia mood, maana nikiwa na kipoozeo mke wangu sitampa attention kubwa endapo atanikosea kama kawaida yake.
Ushauri nahitaji hapa:
Nawaza kutafuta mchepuko
Je njia hii itanisaidia kupunguza stress? Maana mke wangu nimeshakaa nae nikamwambia lakini ataelewa leo kesho yaleyale
Pole sana atakuwa alificha makuchaDaah wakat wa mahusiano mke wangu alikua muelewa mkuu hata siamini kinachoendelea sasahivi
kwanza useme ukweli mkuu maana mtu aliye kwenye ndoa kuongea haya naona ugumu tena ndoa ya miaka mitatu kuwa mkweli ndugu yangu
imani