Granter
JF-Expert Member
- Dec 11, 2016
- 483
- 361
Inasemekana kuwa siri pekee yakufaidi penzi ni hizi;
1.Umpate fundi/mjuzi wa mambo, hata kama mlokole, mpole, mstarabu, na mtulivu. Chumbani/kitandani anatakiwa awe MALAYA HASWA.
2.Awe msafi nje na ndani, mtanashati.
3.Awe na pumzi yakutosha, medium to long lasting Game.
Hapo hata kama mkeo ni mzuri mithiri ya malaika au, mumeo ni mwajiri wa aliko Dangote utachepuka kwa moyo wako wote, kwa nguvu zako zote, na kwa akili zako zote na utasema ewe ****Nisaidie.