Sasa hivi dawa ni kuwa mwanaume suruali tu, unabaki na hamu zako

Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
2,068
2,000
Hivi huwa mnafikiri sisi wanaume huwa hatuzipendi hela zetu? Unakutana na mtoto wa kike mnaanza malovee, unamwita sehemu mnakula, mnakunywa mwanaume unalipa bili kiroho safi.

Mkienda kupiga show unagharamia venue mnapeana starehe mkimaliza unamtoa na hela ya nauli lakini mwisho wa siku anakuja kukupiga mzinga utackia "baby wangu naomba laki moja nna shida".

Wakati yeye pia anafanya kazi na anakipato, yani sasa hivi dawa ni kuwa mwanaume suruali tu, unabaki na hamu zako, zikikuzidi unanunua mzigo unapiga unasepa hamna kung'ang'aniana.

Huu mwaka sitajisumbua kumuimpress mwanamke dadadeek!
 
CleverKING

JF-Expert Member
Apr 24, 2014
8,520
2,000
Hivi huwa mnafikiri sisi wanaume huwa hatuzipendi hela zetu?!unakutana na mtoto wa kike mnaanza malovee, unamwita sehemu mnakula, mnakunywa mwanaume unalipa bili kiroho safi mkienda kupiga show unagharamia venue mnapeana starehe mkimaliza unamtoa na hela ya nauli lakini mwisho wa siku anakuja kukupiga mzinga utackia "baby wangu naomba laki moja nna shida" wakati yeye pia anafanya kazi na anakipato!Yani sasa hv dawa ni kuwa mwanaume suruali tu,unabaki na hamu zako,zikikuzidi unanunua mzigo unapiga unasepa hamna kung'ang'aniana!Huu mwaka sitajisumbua kumuimpress mwanamke dadadeek!
Wanawake wengi hujiaminisha kua wanaume wana hela nyingi kuliko wao na ndio "Ombaomba" huanzia hapo,

Wanawake wapiga mizinga wengi wao hawana mapenzi ya kweli bali wapo nawe kimaslahi zaidi.
 
Boloyoung

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
661
1,000
Hivi huwa mnafikiri sisi wanaume huwa hatuzipendi hela zetu?!unakutana na mtoto wa kike mnaanza malovee, unamwita sehemu mnakula, mnakunywa mwanaume unalipa bili kiroho safi mkienda kupiga show unagharamia venue mnapeana starehe mkimaliza unamtoa na hela ya nauli lakini mwisho wa siku anakuja kukupiga mzinga utackia "baby wangu naomba laki moja nna shida" wakati yeye pia anafanya kazi na anakipato!Yani sasa hv dawa ni kuwa mwanaume suruali tu,unabaki na hamu zako,zikikuzidi unanunua mzigo unapiga unasepa hamna kung'ang'aniana!Huu mwaka sitajisumbua kumuimpress mwanamke dadadeek!
Alafu hawapo safe kabisa bora Malaya yeye yupo rasmi kuliko hao the so called baby wangu kumbe wanafanya uchafu kwa kificho which means HAWAPO SAFE.
 
Ihoyelo

JF-Expert Member
Apr 28, 2016
288
250
Hivi mnapoongea habari wanawake mama zenu mnawaweka kundi gani? Au wao hugeuka kuwa wanaume hebu tumieni akili katika kulaumu mlaumu aliyekutenda bila kujumlisha jinsia nzima kwa sababu na mama yako yumo
 
KARANJA 007

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
6,011
2,000
Gharama zetu jamani, kwani nyinyi mnabeba designer handbags, mnanunua human hair, mnafanya manicure?
Na bila kushau usafi na kujiswafi mamii,asipokupa pesa kesho anakuja humu anasema unanuka kama beberu,wakati yeye ndio anakuchafua usiku kucha au vipi?,wanaume tuache ubahili bhana,papuchi ni kama sufuria la ugali,lazima lisafishwe kwa nguvu zote au vipi?.
 
KARANJA 007

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
6,011
2,000
Gharama zetu jamani, kwani nyinyi mnabeba designer handbags, mnanunua human hair, mnafanya manicure?
Daah,dada wa mimi,sitaki upate hayo masaibu,nambie unapenda PRADA,GUCCI,JIMMY CHOO,CHANEL,MARIO LORENZO,GIVENCHY,EMPORIO ARMANI,GEORGIO ARMANI,JOHN LOBB,LA CENZA,MARIO CERRUTI ETC ETC,OK UWE WAZI,kesho usije sema kaka nisamehe,yule mwanaume alininiumiza coz aliniahidi kunipeleka Rome au Rodeo Drive USA nikafanye shopping ya designers au vipi?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom