Wanawake kuweni na huruma hata chembe

Wanawake kuweni na huruma hata chembe

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
36,634
Reaction score
89,398
15826587_1824042221147029_900122317113600314_n.jpg
 
Mmmmh!! Hesabu ulitoa tu msaada mkuu.
 
Hizo mimba unazowadunga kumbuka kinachotoka ni kiumbe alafu damu yako, waweza dhani unamkomoa mwanamke kumbe unamkomoa mwanao.
😱😱 NDUKI...
 
Niliambiwa "Kumbe unamsomesha!!? Mimi bora nimpe mwanamke milioni mia atatumia zitaisha, elimu hiyo ndiyo mpaka anazikwa nayo. Ms*nge wewe"
 
Niliambiwa "Kumbe unamsomesha!!? Mimi bora nimpe mwanamke milioni mia atatumia zitaisha, elimu hiyo ndiyo mpaka anazikwa nayo. Ms*nge wewe"
ha! kwaiyo natusi kabisa!
 
Back
Top Bottom