Ip man 3
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 677
- 557
Kwanza kabisa salamu kwenu nyote.
Poleni na mihangaiko na kaz pia.Binafs ni kijana wa kiume mwnye umri wa miaka 28.Pia nimeajiriwa katika kampun xx hapa mbeya mjin na namshukuru mungu nina mtoto mmja wa kiume mwnye umri wa miaka 6.
Dhumuni la kuja hapa ni kuomba ushaur sababu nimekuwa ni mfatiliaji mzur tu wa humu JF.Ishu ipo hivi mama wa mtoto huwa simuelewi.
1:- Kipindi sina kaz alinikana kabisa na kusem kuwa huyu si mtoto wangu.Ila mahitaji nilitum kama kawaid kwa kujinyima hivyohivyo na alipokea sababu nilikuwa na namba yake ya simu.Lakin nilipo pata kazi alinifata na kuomb sana msamah kwa kigezo kuwa tumlee mtot nilikubar nikaend kwao kujitambulisha nikapigwa faini ya mtot ilikuwa shiling 350,000/=.
2:- Ishu inakuj kuwa sasa mtt inatakiwa aend shule darasa la kwanz tatz linakuja mimi sitaki mtt asome shule za dar na bahati nzur mimi mzee wangu ni mwalim sasa ishu inakuja kuwa yeye hataki mtot akae kwa baba angu mimi na anataka mtt akae kwao kitu ambacho binafs sitaki.
Kwa ufupi toka nimerudian nae daah nishida tunapang vizur lkn siku mbil tatu shida mipango ndy mtu wa kwanz kuharibu yaan nashindwa kumeelewa.
Asanten .
Ushaur wako muhimu
Nawasilisha