mtoto mdogo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 501
- 130
Habari za Leo wana JF ni muda mrefu umepita sijaandika hapa.
Katika harakati za maisha nimekuja kukutana na binti mrembo sana na ninampenda mno.
Changamoto niliyonayo ni kwamba wakati tunafanya tendo mara zote nashindwa kujua ni Sehemu ipi hasa inayomfanya ajisikie poa akishikwa.
Mara zote nikimaliza bao moja hataki tena.
Pili ninaposex mara zote namchubua sana hadi namhurumia nakosa hamu.
Pia anadai hana hamu ya sex ni tatizo hilo?
Naombeni mnisaidie mbinu gani Nzuri?