Hizi ndizo aina 5 za upendo

ricktz

Member
Jun 25, 2016
20
11
..................................................
Upendo ni neno la kawaida sana kutumika vinywani mwetu katika maisha ya kila siku. Neno upendo lina maana kubwa sana pengine ni tofauti kabisa na sisi tunavyolitumia, Je ulishwahi kufikilia kuna aina ngapi za upendo?. Basi twende sawa hap chini.

Kutokana na machapisho mbalimbali yaliyotolewa na wanafilosofia wa kigiriki PLATO na ARISTOTLE wao wameweza kuainisha aina 5 za upendo.
........................
1.UPENDO WA WAZAZI KWA WATOTO au WATOTO KWA WAZAZI
- Huu ni upendo unaojitokeza kati ya wazazi na watoto wao. Ni upendo ambao mara nyingi hauvunji kirahisi, ni upendo usiotegemea kitu chochote cha nje ili uweze kuhimarika ukiringanisha na aina zingine za upendo.
......................................
2.UPENDO WA KUJIPENDA MWENYEWE (SELF LOVE)
- Huu ni upendo ambao binadamu anakua nao wa kujijali n kujipa thamani yeye mwenyewe pamoja na mapungufu yote yale aliyonayo. Huwezi kukuta hata siku moja mtu anajichukia mwenyewe. Aina hii ya upendo huzaa kitu kinachoitwa UBINAFSI
......................................
3.UPENDO WA KIRAFIKI WA KAWAIDA (FRIENDSHIP LOVE)
- Huu ni aina ya upendo unaoweza kuwa kati ya watu wenye jinsia mbili tofauti au jinsi zinazofanana, pia yaweza kuwa kati ya watu wenye rika sawa au rika tofauti. Upendo huu uibuka kutokana na sababu ndogondogo kama watu kuwa na tabia zinazolandana, kujalianana n.k Huu upendo mara nyingi huwa na sababu nyuma inayousukuma mpka uibuke kama nilivyo oanisha apo juu.
....................................
4. UPENDO WA KAWAIDA (AGAPE LOVE)
- Huu ni aina ya upendo ambao wenyewe upogo tu kutokana na mila na desturi za mahali fulani. MFANO, Upendo kumpenda MUNGU, UPENDO KWA MGENI n.k.Aina hii ya upendo hutegemeana sana na miongozo iliyopo katika jamii fulani juu ya jambo flani.
.........................................
5. UPENDO WA KIJINSIA(SEXUAL LOVE)
- Huu ni aina ya upendo ambao hutokea kati ya watu wawili wenye jinsia mbili tofauti yaani MWANAMKE na mwanaume kuridhiana ndani ya mioyo yao pasipo na maamuzi ya kufikilia (hutokea autmatic). Upendo huu uhitimishwa na NDOA.......itaendelea

IMEANDALIWA NA fredrick Kisalala (RICK)-#0718250809

Nifollow Instagram @Rick_tz
 
1..2 na 5 ndio zipo kwangu

Urafik wa kawaida na jinsia tofauti cna....huu upweke nlionao sasa hv nakuwaje na urafik na mwanamke
 
Kwani lazima uhitimishwe na ndoa?? ha ha ha

sio lazima sana
 
Inaonesha thinkin capacity yko iko low sana
 
Na mwisho umehitimisha kuwa tuku follow insta.. hujatueleza unahusika na nini yaani tuku follow kisa umeandika aina za upendoo??????? :D:D:D:D:D:Do_Oo_Oo_Oo_Oo_O
 
Back
Top Bottom