Mwagito84
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 235
- 707
1.lnbox empty hata sms za voda hana
2.Kama mko karibu na anachati hutumia jicho la wizi kukutazama
3.Akiwa anachati utamuona anakuuliza vimaswali vya hapa na pale lengo ni kuathiri utafiti wako.
4.Anapenda kukaa kochi ambao linapakana na ukuta ili usiweze kuna anachoandika.
5. Hutakaa ujue simu inachajiwa muda gani.
6.Ni nadra sana kuisahau simu popote
7.Anapends Password kuliko patern na anabadili mara kwa mara.
8.Daima simu yake haiiti. ....ni silence kabisa akijitaidi vibration.
9. Anapenda kutuma emoji zinazoashiria mpenzi mf busu ila wewe hutumiwi...ukiingia plays tore utakuwa record zinaonesha alipakuwa badoo,tango mtandaoni ya connection za ngono
10.Ukiingia fb tizama watu aliowasearch 90 watakuwa wanaume.
11. Haserve namba na jina....namba imeseviwa bila jina na anafuta faster call records.
12.Akiazima simu yako akitumia haachi record kabisa.
13. Majina yameseviwa kwa namna inayotia shaka mf jirani, wa nyumbani, mwanakikundi nk.
14.Ni mtu wa misele wakati wote...hakuagi....anasubili utoke ndo anakutext.....sorry namsindikiza shoga yangu kuona mgonjwa....
15. Anajuana na watu wengi sana.......hakutambulishi ng'o
16. Akitoka hata mtoko wa kawaida yuko full mpaka powerbank anabeba, mtandio, losheni, poda, par fume nk
17. Hatulii nyumbani......mvivu mvivu....
18.Anakaa chonjo muda wote kwa shali. ...hapendi maswali
19.Anakwepa msiongozane na mkiongozana anakwepa msivae nguo zinazoweza kuwatambulisha kama wanando mfano batik, kitenge
20.Marafiki zake wengi ni watu wa mambo mengi na matukio