ebbyramadhani
Senior Member
- Jan 5, 2017
- 101
- 109
Kuna watu wanapata tabu jamani kwenye relation zao
Daah, inanisikitisha sana
Wewe kama umebahatika kupata mtu mstaarab
Anakuheshim,anakupenda na kukuthamini, inabidi
Urudishe izo fadhira kwake same au zaid ,na sio kumnyanyasa
Na kumfanyia mambo ya ajabu
Atakuja kuchoka na ukamkosa, af umpate fundi mwenzako
Af ndo utakuja kujua kwanini taulo linachafuka na umetoka kuoga
Damn...