Unawezaje kujipa furaha?

babytifa

Member
Sep 21, 2016
41
14
Wanasema ili kutoa furaha lazima uanze na wewe mwenyewe, unajipaje furaha bila kumtegemea mpenzi wako?
 
Furaha ipo life change unapokuwa na attachments hasa ukapata jimoyo linalozama likakutia upofu na ukiziwi wa mda
Sio kweli kwamba kutopata kamoyo kunaweza kukunyima ka furaha, furaha yako ipo kimaumbile, hivyo hayo maumbile uliyo nayo ndio Mungu alokujalia. Unapo ambiwa furaha jipe mwenyewe kabla hujapewa kwa maana kwanza jikubali ulivyo in any situation katika right way.
 
Furaha ipo life change unapokuwa na attachments hasa ukapata jimoyo linalozama likakutia upofu na ukiziwi wa mda
Binafsi Naamini Kwamba Furaha Ya Mtu Ni Jambo La Asili. Na Ndio Maana Utashangaa Kumkuta Mtoto Mchanga Akifurahi Wakati Ukweli ni Kwamba Hakuna Hata Anachokijua. Hivyo Tambua Kwamba MAPENZI, PESA, KAZI MZURI NK. Vitu Hivi Havlleti Furaha Moja Kwa Moja kwa Binadamu Ila Vinaongeza Tu Furaha. Ndio Maana Unaweza Ukamkuta Mtu Ana Vitu Vyote Nilivyo Viweka Hapo Juu Lakini Akawa Hana Furaha Ya MOYO.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom