Ni kweli watu wakiwa na dhiki wanazaa watoto wa kike?

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Sep 13, 2013
3,798
6,797
Eti watu wakiwa na dhiki, shida matatizo na mahame huwa wanazaa watoto wa kike?

Kama kuna ukweli hii inatokana na nini?

Huu ni msemo wa mzee wangu je una ukweli?
 
Mzee wako ana matatizo ya unyanyapaa na unyanyasaji kwa watoto wa kike na dharau juu.

Kwa hio obama ana shida na hivyo unavyovitaja?clinton je?jk je?
 
Kwa vile elimu yetu imekuwa kama kichwa cha mwendawa****........somo la Biology lilitakiwa liwe la lazima kwa watu wote.
 
Mk
Eti watu wakiwa na dhiki, shida matatizo na mahame huwa wanazaa watoto wa kike?

kama kuna ukweli hii inatokana na nini?

huu ni msemo wa mzee wangu je una ukweli?
Mkuu bado hujaacha kupiga ramli? ona sasa vitu unavykuja navyo.
 
Utafiti wako kwa afrika tu au? Mana Obama ana mabinti wawili Clinton ana binti moja tu nao wana dhiki kama we?
 
Mwanaume ana uwezo asilimia kubwa kuamua jinsia ipi izaliwe: ukiwa mnyonge thrust of your sperm is weak utaishia kupata mtoto wa kike. Ukiwa na nguvu ya kimwili, nguvu dhidi ya mkeo, nguvu ya kisaikolojia ni rahisi kupata mtoto wa kiume. Wanaume wengi huzalisha kwa bahati mbaya; mapenzi analazimishwa, ataishia kupata mtoto wa kike. Huhitaji kuweka mkakati ili upate mtoto wa kike. Mtoto wa kiume anaundiwa mkakati na mbinu mujarabu. Jiandae siku maalum yai linapotoka, kula ushibe, protein za kutosha, mpande mkeo (usianze kutafuta staili), sperm ikitoka huwa ya kiume inatangulia na italifikia yai kabla ya zile za kike zilizo nyingi na uwezo wa kuishi zaidi. Eti unatandika ulabu unarudi kumpa mkeo mimba update dume: umejidanganya. Vidume vilivyoolewa mara nyingi vinazalisha wakike tu. Hii ni sayansi fanyia kazi.
 
Back
Top Bottom