Unaweza kuoa au kuolewa na mtu ambaye umesoma naye?

hausa urrasa

Member
Jan 11, 2017
71
26
Yaweza kuwa darasa moja au shule moja,
kiukweli ninawaona wengi sana wapo kwenye mahusiano angali wanasoma,
je inawezekana wakaweza kuoana hapo baadae?
 
veery easy n possibly if you want to know how twende tukasome wote sa hvi then nkuoe badae
 
Yaweza kuwa darasa moja au shule moja kiukweli napataona weng xna wapo kwny mahusian angali wanasoma je inawezekana wakaweza kuowana hapo badae
Ni mara chache sana hao wapenzi wa masomoni wameoana.! Trust Me ni mara chache mara nyingi wanaji pressume wameona at last kila mtu anachukua time yake
 
Mkuu hilo linawezekana trust me.
Nimesoma na mke wangu darasa moja toka sekondari.
Na sasa ni mwaka wa tatu kwenye ndoa na kwenye mahusiano yetu tangu kipindi tunasoma tumekaa miaka saba. Ongeza na hii mitatu ya kwenye ndoa unapata kumi.
Na bado tunapendana na tunaenjoy maisha yetu ya ndoa kwa sasa.
 
Mimi mpaka sasa ninafahamu couples 3 ambazo zimefunga ndoa. Ni watu ambao nimesoma nao shule moja nao O-Level, walikua darasa moja mbele yangu, wengine nimesoma nao shule moja A-Level, kidato kimoja lakini combination tofauti, na couple ya mwisho nimesoma nayo chuo, course moja kabisa.

Kwa hiyo mimi nimeona na ninaamini inawezekana. Inahitaji mapenzi ya dhati na commitment kubwa sana. Mtu upo nae kila siku, (unaona anavyofeli mitihani, anavyochapwa/kurapiwa, n.k).

Mimi haya kwel siyawezi. Na katika relationship zangu zote, sijawahi kudate classmate wangu, schoolmate, na siwezi kuoa mtu niliyesoma nae.
 
Hahahaha unahofia badae str ikakungukia juu ya kuchapwa skul
 
Yaweza kuwa darasa moja au shule moja kiukweli napataona weng xna wapo kwny mahusian angali wanasoma je inawezekana wakaweza kuowana hapo badae
Mbona mimi mke wangu ni classmate wangu from 1st to 5th yr udaktari. Nilimtongoza tukiwa 1st yr tu mwishoni. Tumedum na hadi sasa tuna watoto 2. Na zipo nyingi tu ninazozifahamu
 
Back
Top Bottom