Skillionare
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 1,190
- 525
Habari wanajf nimetoka kazini nimefika nyumbani nimekuta funguo imeegeshwa mlangoni na watoto Dada kazi wameondoka,tulikuwa na mgogoro na kabla hili nlimwambia maono yetu yamekufa na haijalishi tukakavyo kuwa hatutaweza kufikia malengo yoyote yale kiufupi huyu mama watoto ni mbinafsi na mbishi sana hasikilizi ushauriwwangu wowote yeye dada zake ndio washauri wake namba moja ,nliwahi mwambia amalize ushauri wa fdada zake ndio aje kwangu kwa kuhusu lolote upendo wangu kwake umepoa sana ..anajua nawapenda watoto ndio maana kaondoka nao.