ebbyramadhani
Senior Member
- Jan 5, 2017
- 101
- 109
Habari jamani
Unafaham watu wengi tunagongewa kwasababu hatuwafikishi wapenzi, wake zetu. Namaanisha mara nyingi mapenz yanapoanza ndo huwa yanakua moto moto. Unampa penzi mpenzi wako hadi yeye mwenyewe anakukubali kwa game zako.
Ila kadri siku zinavozidi kwenda mara nyingi tunapunguza dozi. Unaweza ukapiga kimoja halafu basi unalala. Inaweza ikawa kwasababu ya kuzoeana na kumuona mpenzi au mkeo wa kawaida au uchovu wa shughuli za mchana kutwa.
Ile ni mbaya sana maana tayari mwenzako anakuwa kashazoea penzi la uhakika na wanawake wana tabia ya kuhadithiana baadhi ya matukio. Hapo ndo anapopata ushauri wa kujaribu nje ili dozi itimie. Na wanaume tulivyo, ukijua huyu ni mke wa mtu au mpenzi wa mtu utataka usimamie kucha ili umkoleze.
Ndo hapo unapokimbiwa kwa uvivu wako. Jitahidi angalau kila Jumapili ndo iwe siku ya kupiga zile mechi ambazo yeye mwenyewe anaomba poo. Hapo mtaenda sawa, lakini si kumuacha muda mrefu unagusa gusa tu