Three idiot
Senior Member
- Jul 14, 2016
- 188
- 154
Nauliza kuna chang'amoto gani kuwa na mwanaume ambaye tayari alisha zaa before kukutana na ww?......
Kwenye mawasiliano kt yao mm cna shida coz ni kwa ajili ya maendeleo ya mtt...bt issue ya kukumbushiana ya zaman ndo hofu yanguMawasiliano na baby mama wake hayaishi. Mahawara hawaachani hivyo muda wowote akitakiwa anaweza danganya safari ya kikazi kumbe kajichimbia hotel wanakumbushia.
Kosea kitu kidogo tu utasimangwa hadi anakulinganisha na baby mama wake huku wewe ukionekana dhaifu sana.
Kwenye mawasiliano kt yao mm cna shida coz ni kwa ajili ya maendeleo ya mtt...bt issue ya kukumbushiana ya zaman ndo hofu yangu
Mm sina shida kabisa na mtt yani chochote atakachoitaji akipewa na babake cna shida au kama kipo ndani ya uwezo wangu nasapot bt Ile ya mama mtt kutuingilia ndo hofu...maana najua wakat mwingine mtt atakuja kuishi na babake so pale mm ndo mamake...akirud sasa kwa mamake lazma maneno yawepo hataka nitajitahid kumlea vizur... Sasa hiyo kitu kuhandle ndo shida kusema na kuingilia na Mama mtt na hata kama babamtu anaona atapata shida kukaa upande wangu kama mke wake au upande wa mwanamke aliyemzalia mttChangamoto ipo na lazma ufaham kuwa kila utakachochuma na mwenzio basi ujue na mtoto wa nje naye yumo,hapa ndipo wamama wengi wenye roho mbaya hudiriki hta kuwapa sumu wtt wa wenzao ili Mali isitawanyike
Sasa huo msimamo mpaka ukiingia kwenye ndoa ndo nitajua kama anamsimamo au laah!cz now kila kitu naona kiko sawa kwa sababu bado cjawa mke wake na kuona hali itakavyokuwaUkibahatika kupata mwanaume Mwenye msimamo, maisha utayaona matam mambo mengine takawaida usihofie mpz
Kizuri kula na mwenzio mkuuKwenye mawasiliano kt yao mm cna shida coz ni kwa ajili ya maendeleo ya mtt...bt issue ya kukumbushiana ya zaman ndo hofu yangu