raia_mwema
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 479
- 313
Binti leo hii unasema nahitaji mwanaume mwenye hofu ya MUNGU embu jitazame kwanza, kumbuka safari yako afu ujiulize umepata wapi hiyo confidence ya kusema unataka kuwa na mwanaume mwenye hofu ya MUNGU,
=>wakati umediriki kufanya vitendo vya arbotion mara nyingi tu,
=>wakati umetembea na waume za watu mpaka sasa bado unalelewa na mzee mwenye familia yake na anashindwa kuihudumia ipasavyo,
=>wakati ulipokuwa chuo ulikuwa bingwa wa kuchanganya na kubadilisha mabwana,
=>wakati ulikuwa bingwa wa ulevi katika club mbalimbali ulipokuwa chuo
=>wakati umekuwa chanzo cha migogoro katika ndoa za watu
=>wakati umeshiriki katika biashara ya kuuza mwili boom lilipokuwa likikata
=>wakati umegawa papuchi ili upate kazi
=>wakati hujawahi kufika nyumba ya ibada
Afu leo bila hata aibu machoni unakuja na bla bla za kumtafuta mwenye hofu ya MUNGU, wewe unayo? Jipime kwanza kabla ya kuleta vigezo uchwara vyako aseee..