Swali kwa wanandoa tu!

BekaNurdin

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
2,267
2,041
Imagine umetokea mwisho wa dunia hii tunayoishi sasa! Wote tumeondoka na kujikuta tumezaliwa upya katika dunia mpya ambayo hatua za kukua ni kama ilivyokuwa kwenye dunia ya awali (mtoto, kijana, mtu mzima, uzee).

Sasa umekuwa kijana kwenye dunia mpya (ikiwa umerejeshewa kumbukumbu za maisha katika dunia iliyopita) na uko kwenye harakati za kutafuta mchumba awe mwenzi wako wa maisha, kwa bahati nzuri ukakutana na kijana aliyekuwa mume/mke katika dunia ya zamani.

Je, utafunga naye ndoa?
 
Kama kuna mwenye ndoa atakayekujibu hili swali namshauri akafanye assessment ya akili yake!

BTW, wewe una ndoa? Jibu lako ni nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom