Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,914
- 30,972
Nimeumia sana jana nikiwa safarini niko kwenye basi akapanda mate wangu wa UDSM. Nilisikia furaha sana tangu 2000, baada ya kupanda tulianza akuulizana familia inaendeleaje.
Nilishtuka sana baada ya kuniambia kaka sijaoa na sifikirii kuoa toka yule dada yako wa chuo aolewe na mfanyakazi wa madini.
Kiliniumiza sana, ni marafiki waliokuwa wakishikana mpaka wanatembea, baada ya kumaliza chuo anasema mbaya alikuwa bibie hapokei simu baadae akabadili line, mwisho akatumiwa na mtu picha za harusi za demu wake, kibaya hakukaa zaidi ya miezi mitano walipomaliza chuo. Man alikuwa nae before.
Mlio vyuoni amkeni wakwako akiwakwako akimaliza chuo siwako aisee.. Hizi bf na gf ni shidaa..
Man alikuwa nae before