Unakuta Dada mmekutana popote yaani labda kwenye mtandao au kwenye gari au barabarani,then mkabadilishana namba. Baada ya mawasiliano ya mda mfupi eti Nina shida nisaidie kiasi Fulani...
Kwa kutumia alphabet "A" mpaka "Z" kuna jambo litagusa ukimwi isipokua X na Q..
A=acha ngono zembe,
B=badil tabia sasa,
C=chukua tahadhari kabla ya hatari,
D=dumu na mpenzi mmoja mwaminifu...
Hi wakuu,
Nimejisikia mzigo moyoni kuwashirikisha wale wote ambao tunatafuta wenzi wetu wa maisha ni vema tukashiriki katika semina ya MWALIMU CHRISTOPHER MWAKASEGE ya KUPANDA NA KUVUNA
Tarehe...
Habari zenu,
Came to earth 1988, should call myself a woman, not a little girl anymore.
swali linaniwazisha. Hivi kuna maana ya kukaa kwenye relationship kama mtu hum`feel, in short, huyu mtu huna...
Wadau
Mke wangu ananiwekea message kwenye profile yake kunisema.nikimuuliza kuna tatizo gani ananiambia hakuna tatizo.
Yani nashindwa kumuelewa message za vijembe kama analalamika vile eti...
Nilikua nasikia kuwa mawifi na mashemeji ni mwiba kwa wanandoa nikadhani ni uongo ila kwa sasa ndiyo nimeamini kiukweli. Kuna mawifi zangu kiukweli wamekua ni mwiba mchungu kwangu baada ya kuja...
Salam hapa ndani.
Kwa muda mrefu sasa, nimejaribu kutafuta mawasiliano ya sister mwenye age ya miaka kuanzia 20-35 nimegonga mwamba.
Masister n watu wazuri sana.
Nina shida na sister jamani...
Nilmtokea binti mmoja hivi baada ya saundi za maana akanikubali na nikamueleza siku moja aje kunitembelea ninakoishi maana yeye anaishi kwao. Basi siku ya siku akafunga safari na kuja kwangu japo...
Habari.
Hivi inakuwaje mtu(rafiki) unamtreat mtu kama mpenzi ilihali unajua huwezi kuwa naye kama mpenzi? Swala hili lipo kwetu vijana wa sasa unajua fika huyu ni rafiki but kutwa unamtangaza kwa...
Wakuu,
Kuna utafiti usio rasmi ya kwamba maisha (life expectancy) ya mwanaume ni mafupi kulinganisha na ya mwanamke.
Kama huu utafiti una ukweli ndani yake, je nini kinaweza kuwa chanzo cha...
kutokana na mwanamke kuishi kwa emotion(msisimko) ,leo hali nzuri mnapendana anakubana na kukulinda hata usiwe na mchepuko,hali ya uchumi ikiyumba anakimbilia kwingine au kuanza kuwa bize kivyake...
Wazima jamani,
Leo Friday the 13th si siku nzuri kwa jamii nyingine.
Story ni ya shost, huyu alikuwa na akili shule, wote tuliinua mikono. Hesabu alikuwa anamwachia mwalimu labda 10 au tano...
TAFAKARI :-
Kuna mwalimu aliyezoea kumchapa viboko mwanafunzi mmoja mchelewaji. Mwanafunzi huyu alikuwa akichelewa kipindi cha kwanza kila siku. Hivyo, siku ambazo mwalimu huyu alikuwa na kipindi...
Habar zenu wakuu
Naomba Tusaidiane katika kudadavua hili,
Nilikuwa na mazoea Ya kwenda kumuona Babu enzi za uhai wake, na kila mara alikuwa akiniusia kuowa mwanamke anayenipenda na Si...
Nuksi zingine watu hujitakia, mfano watu wanapo funga ndoa au harusi, badala ya kupeleka baraka za ndoa yao nyumbani kwao tena katika kitanda Chao, wao wanatafuta hoteli na kulipia chumba wiki...
Tuanze na mimi....
Leo tulienda sehemu,sa ktk mastory story akanitaja jina langu kwanza....mmm nikashtuka.
Moyoni nikasema something is about to get serious,si unajua ile bae akikuita kwa jina...
Habari wakuu
Siki chache zijazo (mwezi huu wa kwanza) natarajia kupata mtoto wa kike, mtoto huyu atakuwa ni wapili katika familia yetu akitanguliwa na wa kwanza wa kiume.
Nimeona ni vema...
Kuna wasichana flani miungu-watu, wataalamu sana wa kuumba, wanajiona wao divas and very selective. Utawasikia wakiambiana,''mi nimpeleke wapi mwanaume mfupi vile, hapati kitu hapa, I need a tall...
Kama kichwa kijielezavyo hapo juu, ni wazi kuwa nyakati hizi za vijana wa kisasa, vijana wa mjini, wanaotaka kuoa kwa kufanya harusi na ndoa yao kufungiwa kanisani ni ngumu kuamua kufunga ndoa kwa...