Chonde chonde, nina shida na mawasiliano ya sister

Mdakuzi mkuu

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
212
719
Salam hapa ndani.

Kwa muda mrefu sasa, nimejaribu kutafuta mawasiliano ya sister mwenye age ya miaka kuanzia 20-35 nimegonga mwamba.

Masister n watu wazuri sana.

Nina shida na sister jamani ,naombeni msaada wa mawasiliano.

Nipo mkoani Kilimanjaro.

Asante sana.
 
Back
Top Bottom