Kanuni za kuzingatia kuhusu UKIMWI kwa kutumia Alphabet A mpaka Z isipokuwa Q na X.

Illuminata Rodgers

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
2,845
2,020
Kwa kutumia alphabet "A" mpaka "Z" kuna jambo litagusa ukimwi isipokua X na Q..

A=acha ngono zembe,
B=badil tabia sasa,
C=chukua tahadhari kabla ya hatari,
D=dumu na mpenzi mmoja mwaminifu aliyepima,
E=epuka vishawishi endelea kusema hapana,
F=fikiri marambili kabla hujafanya ngono,
G=gongo na vilevi vingine huathiri uwezo wa maamuzi,
H=hakuna utachopungukiwa kwa kuacha ngono,
I=ishi kwa matumaini kama umeambukizwa,
J=jipende kwanza jilinde jiamini na jithamini,
K=kondom itakukinga,
L=leo raha kesho karaha,
M=mapenz si lazma kujamiiana,
N=nenda kapime,
O=ondoa uoga pima,
P=punguza tamaa,
R=ridhka na ulienae,
S=sindano zisizochemshwa na vitu vyenye ncha kali usichangie,
T=tulia kwanza tafakari tathmini maisha yako ya badae,
U=ukimwi upo na unaua,
V=virusi havichagui,
W=wewe ndo mmiliki wa mwili wako,
Y=yann kuburuzwa and
Z=zoazoa ni hatari sana.
 
Kwa kutumia alphabet "A" mpaka "Z" kuna jambo litagusa ukimwi isipokua X na Q..A=acha ngono zembe,B=badil tabia sasa,C=chukua tahadhari kabla ya hatari,D=dumu na mpenzi mmoja mwaminifu aliyepima,E=epuka vishawishi endelea kusema hapana,F=fikiri marambili kabla hujafanya ngono,G=gongo na vilevi vingine huathiri uwezo wa maamuzi,H=hakuna utachopungukiwa kwa kuacha ngono,I=ishi kwa matumaini kama umeambukizwa,J=jipende kwanza jilinde jiamini na jithamini,K=kondom itakukinga,L=leo raha kesho karaha,M=mapenz si lazma kujamiiana,N=nenda kapime,O=ondoa uoga pima,P=punguza tamaa,R=ridhka na ulienae,S=sindano zisizochemshwa na vitu vyenye ncha kali usichangie,T=tulia kwanza tafakari tathmini maisha yako ya badae,U=ukimwi upo na unaua,V=virusi havichagui,W=wewe ndo mmiliki wa mwili wako,Y=yann kuburuzwa and Z=zoazoa ni hatari sana.
Yes indeex
 
Ankoo
 
Back
Top Bottom