Special kwa wale tunaotafuta wapenzi 2017

seckymose

Member
Joined
Dec 29, 2016
Posts
87
Reaction score
47
Hi wakuu,

Nimejisikia mzigo moyoni kuwashirikisha wale wote ambao tunatafuta wenzi wetu wa maisha ni vema tukashiriki katika semina ya MWALIMU CHRISTOPHER MWAKASEGE ya KUPANDA NA KUVUNA
Tarehe 29 january jumapili saa 8 kamili mchana DIAMOND JUBILEE HALL, ni vema tukapanda mbegu kwa Mungu wetu ili atusaidie ktk mchakato wa kupata kile mioyo yetu inatamani kupata kwani yeye ni muweza wa yote, na kwake yeye yote yanawezekana,
1. wote mliovunja mioyo, mlioachika, single mothers , wote ambao hamuoni njia ya kuwa na mahusiano chanya na wenzi wenu...................
once again ur all welcome
 
kweli mrudieni Mungu peke yenu hamtaweza
 
Mkuu Diamond Jubilee patatosha kweli?? Mana tuko wengi kweli
 
Back
Top Bottom