ni sawa mwanaume kuowa mke mmoja?

Ndio na hapana yote yanaweza kuwa majibu sahihi, hata hivyo ni vyema ukaishi unaonavyo kwako sawa mkuu
 
naona wanaoowa wake zaidi ya mmoja huwa hawakumbani na stress za wanaume wanaoishi na mwanamke mmoja na kujitahidi kutochepuka

wenye mmoja ni kuwa huwa wanachanganyikiwa hawajui waanzie wapi ila mwenye zaidi ya mmoja mara nyingi hawamsumbui hata wakiondoka huwa kawaida tu
 
Wanawake wote hawako hivyo kama ulivyoelezea hapo juu , kutokana na maelezo yako jibu ni hapana.
Jiulize ukiwa na wake wengi ndio utakua umetibu hilo tatizo ?
 
Mwanaume inatakiwa aoe wake watatu na kuendelea
ndio utaishi maisha marefu, kwa uzoefu wangu idea ya mke mmoja ni kama imefail kwenye dunia hii,na nchi za utandawazi kama ulaya na marekani ndio kabisa walishaachana nayo wakaadapt ya mkataba
 
naona wanaoowa wake zaidi ya mmoja huwa hawakumbani na stress za wanaume wanaoishi na mwanamke mmoja na kujitahidi kutochepuka

wenye mmoja ni kuwa huwa wanachanganyikiwa hawajui waanzie wapi ila mwenye zaidi ya mmoja mara nyingi hawamsumbui hata wakiondoka huwa kawaida tu

Kumbe majibu unayo mkuu...
 
Wanawake wote hawako hivyo kama ulivyoelezea hapo juu , kutokana na maelezo yako jibu ni hapana.
Jiulize ukiwa na wake wengi ndio utakua umetibu hilo tatizo ?
ukiwa nao wengi hata akikutibua hautashikwa na bumbuwazi kama vile yule mtu mwenye mke mmoja tu na jamii inajua hivyo mtu huyo gafla anaweza kujikuta akidowea makahaba kwenye vilabu vya pombe.yaani hana state of mind.hajajipa muda wa kuchagua mwenza anajikuta kwenye mazingira ya kuhitaji mwenza kwa haraka ili kuendelea na maisha ya kkawaida
 
Hahaha, hivi mtu akikosana na mpenzi wake cha kwanza kukimbilia ni kutafuta mtu mwingine ?
kwa nini ufikiri akikutibua mmoja , na je wakikutibua wote ?
Watu wanaoongoza kwa mawazo ni hao wenye wake au familia zaidi ya moja.
 
Kwani Mungu alimpa Adamu wangapi?Mungu alichompa Adamu ndicho sahihi,zaidi ya hapo ni promiscuity au uzinzi .
kutokana na mwanamke kuishi kwa emotion(msisimko) ,leo hali nzuri mnapendana anakubana na kukulinda hata usiwe na mchepuko,hali ya uchumi ikiyumba anakimbilia kwingine au kuanza kuwa bize kivyake na kuanza kuchepuka kwa jeuri kuwa huna namna.

kuna maana yeyote mwanaume kuwa na mke mmoja?
 
Hahaha, hivi mtu akikosana na mpenzi wake cha kwanza kukimbilia ni kutafuta mtu mwingine ?
kwa nini ufikiri akikutibua mmoja , na je wakikutibua wote ?
Watu wanaoongoza kwa mawazo ni hao wenye wake au familia zaidi ya moja.
Ndio gonjwa la baadhi ya wanaume . Hawapendi kuangalia mbali.
 
Ni kweli , ila maneno ya kwenye mitandao zisikutishe.
wanasema huwezi mrekebisha mwenza. utafiti mdogo unaonyesha kila utakapojaribu kumteat vizuri ndivyo atakavyokuumiza zaidi.
wako waliosomesha,waliotibu wakiwa wagonjwa,waliowajengea wazazi wao,waliowapenda sana.lakini mwanamke na yote hayo wameumizwa vibaya kiasi cha kuchanganyikiwa.

ndio maana ikaonekana cha msingi sio namna bora ya kuishi na mwanamke maana ni mwanamke tu.ni kuishi nao wengi maana ni wanawake tu
 
kutokana na mwanamke kuishi kwa emotion(msisimko) ,leo hali nzuri mnapendana anakubana na kukulinda hata usiwe na mchepuko,hali ya uchumi ikiyumba anakimbilia kwingine au kuanza kuwa bize kivyake na kuanza kuchepuka kwa jeuri kuwa huna namna.

kuna maana yeyote mwanaume kuwa na mke mmoja?
Hakuna maana. Ila ukiwa na mmoja sio mbaya
 
Back
Top Bottom