Wasichana na tabia ya kuchagua wanaume warefu

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,077
Reaction score
17,262
Kuna wasichana flani miungu-watu, wataalamu sana wa kuumba, wanajiona wao divas and very selective. Utawasikia wakiambiana,''mi nimpeleke wapi mwanaume mfupi vile, hapati kitu hapa, I need a tall guy, siwezi kuolewa na mwanaume kisheta''.

Sasa swali ni Je, aliyekwambia wanaume warefu wanataka mwanamke mfupi ni nani? Mbona babako na wajomba zako wafupi lakini unaishi nao, wakatae na hao. We mwenyewe mfupi kama sinia la njegere halafu unaleta sheria za Uarabuni zitumike Vatican.

Subiria mwanaume mrefu hapohapo, ukiona hawaji tafuta mbolea uwawekee warefuke. Some girls are not serious at all. Mkichezewa mnalalamika, mambo mengine mnajitafutia, some criteria are so FAKAE!

#Team tall guys #
 
Tena na Mimi wananikera kweli, mademu wa Kibongo wana maujinga sana, tena hako kanakotaka tall utakakuta kenyewe kafuuupi kama kimba la Asubuhi. Oh mm nataka Handsome Boy, wakati baba yake ana sura kavu kama ngozi ya goti. Mashauzi ya kumwaga wakati k yake maji matupu. Na kitandani kama gogo la mnazi.
 
Hahahha.... mkuu inabidi wajirekebishe tuu
 
1470765367292.jpg
 
Wanaume wa Dar balaa sasa mkikataliwa ndo mnakuja kusema huku mara ohhh blah blah sijui mwenyewe mbaya, mara flat screen, mbona kazi ipo acheni izo ukikataliwa huwezi jua Mungu kakuepushia nini
 
Wafuate wengine wpo warefu na watakukubar tu mkuu sio kulialia hapa we mfupi na hela huna,,, bado hujipendi,,,,Ila mkuu kama unapesa tafta mwingine wanawake wanawaakataaje kwanza jamani,,
 
Mtu anakua bibi umri unaenda anasubiri mrefu.wenzake wanaolewa na hao hao
 
Kuna wasichana flani miungu-watu, wataalamu sana wa kuumba, wanajiona wao divas and very selective. Utawasikia wakiambiana,''mi nimpeleke wapi mwanaume mfupi vile, hapati kitu hapa, I need a tall guy, siwezi kuolewa na mwanaume kisheta''.

Sasa swali ni Je, aliyekwambia wanaume warefu wanataka mwanamke mfupi ni nani? Mbona babako na wajomba zako wafupi lakini unaishi nao, wakatae na hao. We mwenyewe mfupi kama sinia la njegere halafu unaleta sheria za Uarabuni zitumike Vatican.

Subiria mwanaume mrefu hapohapo, ukiona hawaji tafuta mbolea uwawekee warefuke. Some girls are not serious at all. Mkichezewa mnalalamika, mambo mengine mnajitafutia, some criteria are so FAKAE!

#Team tall guys #
Kila mtu na utashi wake. Wengine wanapenda warefu, wengine wafupi. Wengine wanene, wengine wembamba. Wapo wanaopenda weupe na wengine weusi.

Uhuru wa kuchagua
 
Kuna wasichana flani miungu-watu, wataalamu sana wa kuumba, wanajiona wao divas and very selective. Utawasikia wakiambiana,''mi nimpeleke wapi mwanaume mfupi vile, hapati kitu hapa, I need a tall guy, siwezi kuolewa na mwanaume kisheta''.

Sasa swali ni Je, aliyekwambia wanaume warefu wanataka mwanamke mfupi ni nani? Mbona babako na wajomba zako wafupi lakini unaishi nao, wakatae na hao. We mwenyewe mfupi kama sinia la njegere halafu unaleta sheria za Uarabuni zitumike Vatican.

Subiria mwanaume mrefu hapohapo, ukiona hawaji tafuta mbolea uwawekee warefuke. Some girls are not serious at all. Mkichezewa mnalalamika, mambo mengine mnajitafutia, some criteria are so FAKAE!

#Team tall guys #
Nyie mbona mnachaguaga wasichana? Mara hamtaki flat screen, mara vimiguu kama njiti mnawasumbua wadada hadi wanaweka matako fake na kujichubua. We kama umekataliwa kisa mfupi kausha tu kama mnaowaita flat screen wanavo kausha. Wala hawaji huku kulalamika.
 
Nafikiri uchaguzi siyo shida maana mwanamke naye ana hiyo haki. Tatizo kiinakuja wanapoanza kukandia wnaume wafupi wakati hawajapata wenza na mwisho.kuwarudia hao wafupi waliowasema vibaya. Ni bora kama unataka.mrefu tafuta huyo na uache kukandia wafupi maana huwezi jua mwisho wa aiku unaangukia mikononi mwa huyo mfupi.
 
Back
Top Bottom