belionea
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 1,052
- 914
Nuksi zingine watu hujitakia, mfano watu wanapo funga ndoa au harusi, badala ya kupeleka baraka za ndoa yao nyumbani kwao tena katika kitanda Chao, wao wanatafuta hoteli na kulipia chumba wiki nzima, je chumba na Kitanda mnacholalia hapo hotelini kimevunjiwa amri ya sita na wangapi? Wake kwa waume wamesalitiana hapo mara ngapi.
Je hapo unachukua baraka au nuksi? Hivo usishangae baraka za ndoa mlizo pata kanisani mkaziacha hotelini kisha mkachukua nuksi hotelini mkapeleka ndani ya nyumba yenu ambayo mtaishi siku zote. Onyo kwa vijana tuache kufuata mikumbo bila kujua faida na hasara.