Jina zuri la mtoto wa kike

Jina zuri la mtoto wa kike

Mjep

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2014
Posts
11,861
Reaction score
35,262
Habari wakuu

Siki chache zijazo (mwezi huu wa kwanza) natarajia kupata mtoto wa kike, mtoto huyu atakuwa ni wapili katika familia yetu akitanguliwa na wa kwanza wa kiume.

Nimeona ni vema kuwashirikisha katika furaha hii member wenzangu mnisaidie kuchagua jina zuri.

Nitafurahi kama jina litakua la [HASHTAG]#kiislamu[/HASHTAG] ikiwezekana nikapata na maana yake itapendeza sana

Karibuni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom