Mr.Wenger
JF-Expert Member
- Nov 20, 2014
- 2,558
- 6,091
Wakuu,
Kuna utafiti usio rasmi ya kwamba maisha (life expectancy) ya mwanaume ni mafupi kulinganisha na ya mwanamke.
Kama huu utafiti una ukweli ndani yake, je nini kinaweza kuwa chanzo cha wanaume kuwa na maisha mafupi?
Ni kwa sababu tunaishi maisha hatarishi au ni mipango ya Mungu? Kuna wanaosema duniani wanawake ni wengi kuliko wanaume, je hiyo nayo imechangiwa na short life expectancy kwa wanaume?
Nimejaribu kujifanyia research ndogo mimi mwenyewe nimegundua yafuatayo;
1.Mama mzazi- Mzima
2.Bibi mzaa mama-Mzima
3.Bibi mzaa baba-Mzima
4.Baba- amefariki R.I.P
5.Babu mzaa mama-amefariki R.I.P
6.Babu mzaa baba-amefariki R.I.P
Hiyo ni kwa upande wangu, vipi kwa upande wako mwanajf matokeo yakoje?
Je nini tufanye wanaume tuongeze uhai?
Kumbuka hata baba wa Taifa ametutoka Mungu amrehemu lakini mama wa taifa tunashkuru bado tupo naye.