scientificall
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 457
- 328
Nilmtokea binti mmoja hivi baada ya saundi za maana akanikubali na nikamueleza siku moja aje kunitembelea ninakoishi maana yeye anaishi kwao. Basi siku ya siku akafunga safari na kuja kwangu japo alinitaarifu kuwa hatokaa sana sababu hakuwa ameaga kwao na ni mbali kama km 200 hivi.
Nilimpokea vizuri kwa ukarimu akapata huduma zote za ugeni. Muda mwafaka ukawadia kwangu ili nimwoneshe upendo kwa matendo kwani alionekana kuwa na aibu sana hata kuniangalia usoni ilikua shida sana. Nilitumia mda wa ziada pale kitandani huku nimemkumbatia na kumpa maneno matamu.
Hisia zilipoanza kumpanda akanitamkia kuwa kwa leo nisifanye chochote kwani ni siku ya kwanza huku akionesha sura ya huruma na akiwa serious japo nami tayari nlikua nishatia saini kuwa huyu lazima apewe dozi kidogo lakini huruma ikanjia pale na kumuachia japo kwa shingo upande. Muda ulipo fika akaondoka na kurudi kwao sasa nikimuuliza anakuja lini kunitembelea tena anadai atakuja muda wowote lakini kunipa penzi mpaka tumalize miezi 6 katika mahusiano na huu ni mwezi wa 2. Nami nimejiapanga ipasavyo bora anichukie kuliko kurudia kosa.
Kama nitakua sahihi au sipo sahihi kwa hilo ushauri wenu jamani . Nawasilisha...