Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

1. Anayejali watu wa nyumbani mwake, hutunza siri siyo kutapanya nje maneno ya ndani na kila mtu anajua, huomba ushauri kwa wazee na si kwa vijana ambao wao siku zote hufikiri kuharibu 2. Humpa...
3 Reactions
3 Replies
4K Views
Mie natamani akanitambulishe kwao, wewe je?
2 Reactions
36 Replies
7K Views
Tarehe kama ya leo miaka minne iliyopita nilipokea taarifa ya huzuni sana kutoka kwa mtu wangu wa karibu kuwa i have to be strong kwa taarifa atakazonipa, mwisho akamalizia kwamba mpenzi wako...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
HELLO WANA MMU kwa zaidi ya siku mbili tatu nimekuwa nawaza sana mara baada ya mmoja wa michepuko yangu hapa chuoni kunibadilikia ghafla bila sababu yoyote ya msingi. Nilikuwa namtumia meseji...
5 Reactions
75 Replies
7K Views
Habari ndo hiyo, acheni kunyanyapaa Wanawake!
0 Reactions
0 Replies
872 Views
Hatimaye wanasayansi wagundua tena tiba/Chanjo ya UKIMWI hivyo sasa hivi ni full kujiachia Hatimaye wanasayansi wagundua tena tiba/Chanjo ya UKIMWI hivyo sasa hivi ni full kujiachia
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu wa nchi, Natumaini mnaendelea vizuri na huu mwendo kasi wa mheshima. Wakuu wa nchi kwa wale wanaosafiri kwenda nchi za Ulaya na North America watakaohitaji wasichana wa kizungu na wanaume...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Kwa wale wanawake wenye tabia ya kusema hawataolewa na mwanaume suruali ambaye hana pesa basi kazi wanayo maana takwimu zinaonyesha kuwa takribani asilimia themanini ya wanaume wenye mafanikio...
4 Reactions
25 Replies
8K Views
Wakuu, Katika pitapita zangu nimeangalia hiki kideo. Kama kumpenda mwanamke ni vile basi kuna haja sasa ya kuanzisha chama cha kuwakomboa mamario
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za wikiendi leo nipo tu nyumbani baada ya jana ijumaa kunywa bia za kutosha. sasa shemeji yenu(sina uhakika sana) alikuwa anafanya fanya usafi mimi huku nikiwa nimelala. baada ya...
6 Reactions
41 Replies
6K Views
Hellow jf,ni siku chache tu tumetoka maliza mwaka wa 2016 embu niambie kwa mwaka ulopita nani hero wako na kwann?me binafsi my mummy ndo my hero kwa last year.
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Huku ukijifanya kututambia " Masela " Kitaani na ukijishebedua kuwa Mkeo anayefanya Kazi katika Kampuni X huko Mjini kuwa " hakusaliti " eti kwakuwa tu asubuhi huwa unampeleka Kazini mwenyewe...
33 Reactions
448 Replies
68K Views
Habari za wakati huu wanajf....! Last week nilipost thread....ya kuwa sijawahi.....kuridhika ktk kusex...... Sasa yamekua mengine... Ni siku mbili zimepita baada ya kikao cha boma kukaa na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mara nyingi wengi wetu tumekuwa katika mahusiano na wapenzi wetu lakini hali sio kama ile ya awali wakati mnaanza mapenzi yenu. Wanawake wengi wanalalamika kuwa hawaoni upendo ule waliouzoea...
3 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau naomba niwashirikishe kidogo kwa muda mrefu nimekua kwenye dillema ya mahusiano nipo katika mahusiano na wadada watatu tofauti.Umri unaenda na ninatakiwa nioe mmoja kati yao..Wa kwanza she...
4 Reactions
43 Replies
5K Views
Bwana Yesu asifiwe, Kuna aina kuu 2 za uzazi wa mpango unaokubalika na MUNGU. Na aina izo ni kutokana na makundi mawili:: 1. Uzazi wa mpango kwa mabinti wasioolewa. 2. Uzazi wa mpango kwa walio...
5 Reactions
34 Replies
6K Views
Kiss (Busu) sio kwa mpenzi tu pekeake tumeona wazazi wakiwaaga watoto wao kwa kuwakumbatia na kuwabusu, iwe ni shavuni, kwenye paji la uso au mdomoni kwa baadhi ya wazazi. Yapo mabusu mengi ila...
2 Reactions
47 Replies
38K Views
Hakuna mwenye moyo ambaye anafurahishwa na maumivu katika mapenzi. Hapa nazungumzia usaliti, unyanyasaji, masimango na mengine mengi katika uhusiano wa kimapenzi.black-couple00 Wapo watu ambao ni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau hivi ni sahihi mchepuko wako kuja ghetto/nyumbani kwako bila taarifa kwa kisingizio eti kakufanyia suprise , Huu ni wivu au nini jamani
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Ha!ha! Horrible!
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom