Baby M
JF-Expert Member
- Apr 18, 2012
- 1,037
- 415
Habari zenu,
Came to earth 1988, should call myself a woman, not a little girl anymore.
swali linaniwazisha. Hivi kuna maana ya kukaa kwenye relationship kama mtu hum`feel, in short, huyu mtu huna hamu naye kimapenzi kata kubusu tuu ni shida.
Ok, kuna jamaa nilimjuaga kama mwaka hivi, mwanzoni nilikuaga na mshawasha nae sana yani sana, he is very caring, loving, good looking , mchapa kazi na anahitaji relationship yenye future.
I was happy to find him, but came siku moja tuka have romance moment, kesho yake akaja akanituhumu kwamba anaona mimi nilishawahi fanya mapenzi kinyume na maumbile na alinikejeli na kuniongelesha kwa dharau sana kitu ambacho kiliniuma na ukizingatia sijawah fanya hicho kitendo.
From hiyo siku jaman, hisia zangu juu yake zilichange, na nilimwambia aniambie kwa nini anahisi mimi nilishawahi fanya hivyo au kitu gani amekiona katika mwili wangu kimpelekee kusema vile, hajawahi nijibu hilo swali hadi leo.
Sadly from that day ikawa ngumu kwangu hata kum`hug or have romance with him japo kuwa alikua very nice to me, so ikawa namuona kama mshikaji wa kawaida tutasaidiana mambo or mawazo but faragha sitaki hata aniguse.
Nimejipiga moyo kweli nitabadilika nikawa nipo tu na yeye hadi mwenyewe akajua kwamba sim`feel au simtamani kimapenzi nikamwambia wazi since ulinambiaga jambo fulani my feelings has changed, he apologized nikasamehe like sitaki kuwa nasema hilo jambo everytime.
Sasa, shida ni hiyo kweli nimejaribu hata kumshirikisha Mungu anitoe hicho kifungo jamani, hisia zangu haziamkii juu yake, at some-point nikaona niwe naangalia porn halafu ndiyo nikutane naye but mhh ikagoma.
So nikaona jamaa kweli ana nia nzuri lakini tutaishije kama wanandoa kama sina hamu ya kufanya nae tendo, sawa am growing old but is it worth it kuwa na mtu sim`feel just because atanioa? Ikawa naanza kumsahau, sitaki kuonana nae mara kwa mara or kuongea nae ikawa nadra like we were losing touch. And najua with time angechoka na angepata mtu wa kuwa nae faragha. sikutaka hiyo intokee nikiwa nae.
Swali langu , je ina maana kuwa na mtu katika uhusiano kama huna hisia nae kimapenzi?