Sia Cathbeth
Member
- Sep 13, 2015
- 34
- 30
Habari.
Hivi inakuwaje mtu(rafiki) unamtreat mtu kama mpenzi ilihali unajua huwezi kuwa naye kama mpenzi? Swala hili lipo kwetu vijana wa sasa unajua fika huyu ni rafiki but kutwa unamtangaza kwa marafiki wengine hata ndugu,utasikia SHEMEJI au WIFI yenu huyu why?
Wataka kujionyesha wajua mapenzi alafu sisi binadamu bwana unakuta wale marafiki wanaitikia faster KARIBU SHEMEJI/WIFI KINAFIKI. Bila aibu tuanaficha maovu. Hivi huyo Mwanaume/mwanamke unayemtambulisha hivyo hujui utamwasiri kisaikolojia pale ugakapo malizia shughuli yako.
Na nyie wanafiki unajuaje huyo anaweza kuwa mumeo/mkeo kesho na unajua fika mtambulishaji ni muongo.
Ina huzunisha sana. Ebu kama hii inakuhusu na upo na mtu anakuchukulia rafiki lakini anakutreat kama mke/mume muulize ana mpango gani nawe umri unaenda, usipoteze muda kungoja tambua dhamani yako.
ANOTHER MAN SHIT IS ANOTHER MAN I KNEW YOU WERE THE ONE FROM DAY ONE.
NYIE WANAFIKI MUACHE MNACHOCHEA UKUWAJI WA MAGONJWA NA FAMILIA ZISIZO NA MAADILI NDO MAANA KUNA MATATIZO KAMA HAYA:
[HASHTAG]#School[/HASHTAG] drop out
# Street children
# poor family
# violence
# ndoa kuvunjika
[HASHTAG]#ongezeko[/HASHTAG] la umaskini
Nyingi sana.