Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,732
- 215,909
Wazima jamani,
Leo Friday the 13th si siku nzuri kwa jamii nyingine.
Story ni ya shost, huyu alikuwa na akili shule, wote tuliinua mikono. Hesabu alikuwa anamwachia mwalimu labda 10 au tano, wakati wengine tumetoka na pass tu mshenzi huyu alikuwa anakung'uta 90-95%. Basi shost alisoma PCM na baada ya hapo alikwenda kwenye zile fani zenye wanawake wachache.
Shost huyu hajipendi, tulifikiri akipata kazi atabadilika, siku nimekutana nae Dar ananiambia ameolewa na watoto watatu khe tulifurahiana, kwani ni muda mrefu yeye si alipata scholar ship zile za serikali, alikwenda nchi flani hivi na amerudi yuko wizara flani.
Story ilikuwa shost katika mikutano huko alikutana na mkaka wale design ya dream za wengi, kijana handsome msomi, basi kijana alikuwa anatafuta mwanamke mwenye shule ya uhakika, kumuoana bidada si aliamini atambadilisha tu.
Yule dada anaweza kuvaa nguo kazini siku tatu hajabadili. Mume alianza kwa kumfanyia shopping, anaongea na wale wadada wanaofanya biashara ya nguo anahakikisha wife ana nguo up to date, hola zinabaki zimetundikwa kabatini.
Mume alikoma kutafuta msomi, msomi huyu alikuwa msomi na kitabu. Akitoka kazini ni kitabu, usiku anaamka ni kuandika ripoti za kazini. Vimekwenda, mume alimpata mtoto ndiyo kwanza amemaliza form six, akaanza kuchepuka. Lakini anampenda mkewe, amemshauri basi badilika hola.
Mwisho mume alimwambia wazi, tuendelee kulea watoto mimi na wewe basi. Haya mambo ya kudhani unaweza kumbadilisha mtu mzima ni kujidanganya.
Sky Eclat.