Kuna Dada ni Mke wa MTU,tulikutana naye kwenye mitandao ya kimahusiano.baadaye akanipa namba na Jana tukaonana sehemu Fulani hivi. Kuniona akaniambia Wewe utakuwa Mdogo wangu na Mimi ni Dada yako...
*New world population statistics*
Population 7.8 billion people on planet earth.
Women *5.6 billion*
Men *2.3 billion*
So baby gal think twice before saying *NO* to a man.! [emoji4]
Tukifanya...
Natafuta mchumba mstaarabu na anayaejielewa ambaye baadae baaada ya kufahamiana na kujuana tabia na misimamo tukiridhiana tuoane.
Vigezo ni tabia njema, sichagui umri wala kabila wala dini, mimi...
Wengi wana namna zao tofauti za kumtathmini mwanamke aingiapo au akaapo bar. Wengi sura, huangalia umbo, mijihips, na akipita hugeuka kwa nyuma kuangalia kama ana nafsi yenye uhai.
Lakini wajanja...
Hili linatuhusu jinsia zote.
Inawezekana umeshawahi kuchepuka au la. Lakini swali la msingi ni hili, kuna umuhimu wowote wa kumwambia mchepuko kama una mume au mke? Je ukimwambia madhara yake ni...
Baada ya siku chache zilizopita kuja na uzi wenye kichwa cha habari "Domo zege lina tesa moyo wangu" sasa mambo yameanza kubadilika baada ya kupata ushauri kwa mafundi wa haya mambo.
Na nitoe...
Salamu wakuu,
Napenda kujitokeza kwenu ili niweze kupata mawazo chanya yatakayonisaidia kuokoa uhusiano wangu na dada mmoja mrembo sana niliyekutana naye katika mtandao maarufu sana wa kijamii...
Obama azungumza haya kwa hisia mpaka chozi likamdondoka.
“For the past 25 years you have not only been my wife and mother of my children, you have been my best friend. You took on a role you...
Wasalaam wote wakubwa kwa wadogo
Nimeona leo niwashirikishe mkasa huu ulionikuta ile angalau nipate mitazamo mbali mbali kutoka kwa watu wenye uzoefu nayo, siyo mtaalam sana wa mahusiano na nina...
Habari wakuu..hii tabia naona inakua kwa kasi kwa sisi wanaume kujawa na tamaa za kupitiliza kiasi kwamba tunahatarisha ndoa zetu kwakutaka kulala mpaka na mabinti tunaowalea.
Mfano;
kuna mzee...
Nilishawahi muuliza baba yangu, kwanini wenye ndoa wanachepuka?
Akanijibu kwa mfano huu,"umetoka nyumbani umekula umeshiba, unapita mitaa miwili mi tatu unaskia harufu ya nyama choma kisha...
Bila shaka wote muwazima wa afya.
Leo imekuwa Siku trick sana kwangu mpenzi wangu ambaye tunaitana mke na mme kwa miaka mitatu sasa. Anataka niweke neno nakupenda mume wangu katika status yangu...
Siku zote mwanamke hawezi pata mwanaume aliye sahihi,,,.
1. Ukimpata handsome,,kichwa yake ni empty.
2. Ukimpata genius...yuko serious masaa 24 na wengi huwa hawako romantic , hawajipendi...
naombeni msahada kujua hili swala jamii,hivi unaweza kuwa na nguvu za kiume ila begu za kiume zikawa hazina nguvu ya kurutubsha yai.na ukawa na huna nguvu(unapga round moja tena dakka cahche sana)...
Habari za jumapili.....
Kuna wakati watu hupishana kauli.....hivyo hupelekea mmoja wapo kati yenu kupandwa na jazba.....na hata wakati mwingine kufanya kitendo ambacho hujakitazamia.....moja wapo...
Hii nimeikuta kwny group moja la whatsapp!
*Asilimia 90 ya watu walio kwenye uhusiano(not marriage) hunyonyana sehemu za siri kama sehemu ya mapenzi-oral sex
*Asilimia 40 ya walioko kwenye ndoa...
Niseme wazi kua mimi ni muumini wa ulinzi imara(back imara), ndio maana navutiwa na morinyo kwenye soka ambae pia ni muumini wa ulinzi imara.
Katika uchunguzi wangu usio rasmi nimegundua wanawake...
Habari za weekend wana jamvi,
Mimi ni msichana wa miaka 26, Tatizo langu nina ujauzito wa miezi 4, ila nimekua rafu kupitiliza mpaka Mr. ananiambia mbona wajiachia sana tofauti na mimba ya mtoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.