masara
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,738
- 2,281
Kuna Dada ni Mke wa MTU,tulikutana naye kwenye mitandao ya kimahusiano.baadaye akanipa namba na Jana tukaonana sehemu Fulani hivi. Kuniona akaniambia Wewe utakuwa Mdogo wangu na Mimi ni Dada yako, (ananizidi miaka chini ya mitano) nikasema poa haina shida. Leo akaniambia nimkute sehemu, nikafanya hivyo ila walikuwa wawili. Baada ya mda akaanza kunionyesha picha za tukio Fulani hivi LA ndugu yake.katika kupekuwa akafika kwenye video ambayo nahisi ni yake alijichukuwa kama alikuwa anapiga punyeto maana inaonyesha mkono uko kwenye kisimi. Alipofika hapo akatoa.
Nimekaa nawaza je alifanya makusudi nione au bahati mbaya... Na hii kujiwahi kuwa ni mdogo wake ina maana gani? Au ni njia ya kunisogeza baadae gia itabadilika
Nimekaa nawaza je alifanya makusudi nione au bahati mbaya... Na hii kujiwahi kuwa ni mdogo wake ina maana gani? Au ni njia ya kunisogeza baadae gia itabadilika