lossoJR
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 2,711
- 2,383
Habari wakuu..hii tabia naona inakua kwa kasi kwa sisi wanaume kujawa na tamaa za kupitiliza kiasi kwamba tunahatarisha ndoa zetu kwakutaka kulala mpaka na mabinti tunaowalea.
Mfano;
kuna mzee aligombana na mkewe juzi hapa,yule mama aliolewa na huyu bwana akiwa tayari ana binti wa miaka 18, lakini pia amezaa na huyu bwana mtoto mmoja(7).
Sasa baada ya ugomvi yule mama aliamua kuondoka ghafla,sasa inasemekana yule mzee marakadhaa alianza kumsumbua sana binti kwa kumtaka kimapenzi kinguvu(kubaka), lakini binti aligoma na hatimae kufanikiwa kutorokea kwa jirani,hivyo kumjuza mama yake kwa simu ya jirani hatimae mama alirejea na kumbeba binti yake na kumuacha yule mdogo kwamaana mzee mwenyewe alikataa kuondoka nao wote.
Sasa majaribio haya ni mengi na yanatushusha utu,hivi mtu unaugwadu wako si bora ukadake Ma**ya huko mtaani kuliko kufanya majaribio kwa watoto wenu au muwaleao ama pengine hata wasaidizi wa ndani.