Twalyaninkomi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2016
- 265
- 259
Salamu wakuu,
Napenda kujitokeza kwenu ili niweze kupata mawazo chanya yatakayonisaidia kuokoa uhusiano wangu na dada mmoja mrembo sana niliyekutana naye katika mtandao maarufu sana wa kijamii FACEBOOK.
Ni wiki sasa tangu nilipofanikiwa kutoka na binti huyo siku mbili tu baada ya yeye kuniomba urafiki na kuanza kuchati nae.
Mrembo huyu mwenye msambwanda wa haja aliyenidatisha sana hadi nikaamua kutumia njia mbalimbali ili kufanikisha nikampata ikiwemo uongo kua mimi ni mfanyakazi serkalini kumbe ni mwalimu wa sanaa ninayesubiri ajira zifunguliwe nami nipate kwa kujishikiza kuendesha maisha ya kila siku.
Basi wikiend hii tulipanga kuonana kwa mara ya kwanza na siku hiyo nilifanikiwa kuonja papuchi kiukweli nilimfaidi sana na kimuonekano tu alifurahisa tendo, ni mtoto mmoja ivi mrembo sana.
Nilionjeshwa tu penzi lake na nikafurahia sana, na baada ya hapo niliwasiliana nae tu siku hiyohiyo usiku kwani siku zilizofuata alikua hajibu meseji za kawaida, messenger hadi wasap kote kimya huku sms zikionekana kupokelewa na mtu yupo hewani! Hapa najuta bora tu angepita kando kuliko kunionjesha tu nakunipotezea.
Wakuu naombeni ushauri, nifanyeje ili niendelee kufaidi penzi la huyu mrembo kwani hapa kanichanganya akili kabisa na sikumfanyia chochote kibaya kwani huduma zote alizohitaji nilimtimizia.