Fahamu utafiti kidogo wa masuala ya mapenzi

Bome-e

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
17,142
26,132
Hii nimeikuta kwny group moja la whatsapp!
*Asilimia 90 ya watu walio kwenye uhusiano(not marriage) hunyonyana sehemu za siri kama sehemu ya mapenzi-oral sex
*Asilimia 40 ya walioko kwenye ndoa hufanya oral sex miaka 5 ya mwanzo ya ndoa zao!
*Asilimia 20 ya walio kwenye uhusiano hufanya anal sex
*Asilimia 2 ya walioko kwny ndoa hufanya anal sex
*Asilimia 30 ya wanandoa wana/wamewahi kuwa na michepuko
*Miaka 20 baada ya ndoa,asilimia 10 tu ndio hunyonyana ndimi!
*Asilimia 99 ya walio kwenye uhusiano hulana denda

UPDATES:
Nimegundua kitu hapo,asilimia 20 ya walioko kwenye uhusiano hufanya mapenzi kinyume na maumbile lakini ni asilimia 2 tu ya wlioko kwenye ndoa hufanya hivyo!Je,asilimia 18 wanaenda wapi?
Akina dada mlioko kwenye mahusiano,kati ya 20 mnaoingiliwa kinyume na maumbile,ni 2 huolewa na hao watu wanaowaingilia!
 
Ooouuuhhh wee...! Labda ndo mbinu zao hizo za kupata "SEXUAL HEALING"
______________________________
Marvin gay
 
Asilimia 20 walioko kwenye mahusiano inanihusu mm.
Mkuu.... Hongera kwa utafiti.
Teh teh teh teh teh teh....
 
Ujue haya mambo ya kunyonyana nyonyana hayakuwa YETU sisi wabantu tuligeza tu kwa hawa weupe na ndio maana hatuwezi kuyaendeleza ......muda kadri unavyoenda tunaacha.
But wenzetu haiko hivyo coz ndio mambo yao.
 
Asilimia 20 walioko kwenye mahusiano inanihusu mm.
Mkuu.... Hongera kwa utafiti.
Teh teh teh teh teh teh....
 
Ujue haya mambo ya kunyonyana nyonyana hayakuwa YETU sisi wabantu tuligeza tu kwa hawa weupe na ndio maana hatuwezi kuyaendeleza ......muda kadri unavyoenda tunaacha.
But wenzetu haiko hivyo coz ndio mambo yao.
So ujanani zinakuwa ni kiki za msimu
 
Back
Top Bottom