Wanawake wa uswazi wako vizuri kwenye ulinzi na wakishua wako vizuri ushambuliaji

Mfukua Makaburi

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
3,320
2,000
Niseme wazi kua mimi ni muumini wa ulinzi imara(back imara), ndio maana navutiwa na morinyo kwenye soka ambae pia ni muumini wa ulinzi imara.

Katika uchunguzi wangu usio rasmi nimegundua wanawake wengi wa uswahilini wamekamilika sana kwenye dara ya ulinzi(back yao) iko imara kuliko wenzao wa kishua ambao wako imara kwenye ushambuliaji.

Kwa watu wenye vichwa vyepesi namaanisha kua wanawake wengi wa uswahilini wana makalio makubwa kuliko wanawake wa kishua ambao wao wamekeza kwenye sura nzuri(foward) huku nyuma kwenye ulizi wakiwa wanapwaya.

Mimi binafsi mwanamke hata awe na sura nzuri namna gani lakini kama kwenye ulinzi hajakilika hata salamu yangu anaipata kwa shida sana.

Naomba ieleweke kua haya ni maoni yangu binafsi na sina nia ya kumkashfu mtu yoyote.
 

miss chagga

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
57,919
2,000
yoteeeee umezunguruka weeee lengo usifie makalio tu.. mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu..... sikuku njema
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom