kuna wengine wanakuchoka kistaarabu tu, atakwambia asante.. ndo imetoka hyoNini atakujibu kwa yule Mwanamke alie Kuchoka wakati Umemtamkia Nakupenda Mke Wangu.
Hakuna mtu anaechefua roho kama mwanamke akishakuchoka,ukimwambia Nakupenda mke wangu atakubenulia midomo huyo ndio kakustahi,akitoka hapo anamwambia shogake huyu kichefuchefu asojua hata kupiga mswaki na kuoga akatakata na kitanbi chake nae anantia mkosi asubuhi hii kunambia ananipenda hata sijui nna kimavi gani lol...
Aisee!mxiuuu...kampende mama ako mzazi...!!
mwanaume mbele huchezi nyuma hutikisiki...
najuta kuwa na kifurugobe km wewe..
katika wanaume weewe mwanaume looihh!!
wakiambiwa usimame hapa ht mshipa wa kinena haunichezii!!!
ptuuuu....hebu huko nisije tapika mie...
mmmmh sio kwa maneno hayoHakuna mtu anaechefua roho kama mwanamke akishakuchoka,ukimwambia Nakupenda mke wangu atakubenulia midomo huyo ndio kakustahi,akitoka hapo anamwambia shogake huyu kichefuchefu asojua hata kupiga mswaki na kuoga akatakata na kitanbi chake nae anantia mkosi asubuhi hii kunambia ananipenda hata sijui nna kimavi gani lol...
duh najuta sio kwa majibu hayomxiuuu...kampende mama ako mzazi...!!
mwanaume mbele huchezi nyuma hutikisiki...
najuta kuwa na kifurugobe km wewe..
katika wanaume weewe mwanaume looihh!!
wakiambiwa usimame hapa ht mshipa wa kinena haunichezii!!!
ptuuuu....hebu huko nisije tapika mie...
broo mambooo!.duh najuta sio kwa majibu hayo
dada jibu lako limenigusa utasema umeniambia mim vile kumbe shemej yangu....broo mambooo!.
mis uu
mi siongeagi hvyo hiyo sampo tu nimetoa....!!dada jibu lako limenigusa utasema umeniambia mim vile kumbe shemej yangu....
ha ha ha dada unanijaza sa hv enhee first statement is always right kwa lile jibu hapana aiseemi siongeagi hvyo hiyo sampo tu nimetoa....!!
mm km simtaki nampotezea tu!sijibu text wala kupokea simu...akizingua namuambia kaa mbali na mm
hapana najaribu kokopy na kupesti kutoka kwa watu tu mm siko hvyoha ha ha dada unanijaza sa hv enhee first statement is always right kwa lile jibu hapana aisee
aaahhh!wapi....!!sinaga hizo miye!Unaonekana n mtoto wa mjini sana! Tenaa unapenda sana mipasho iv! Yale maneno n hatari! Samahan lakini.
Kabla hajamaliza hiyo sentensi yakwanza nitam "render unconscious"mxiuuu...kampende mama ako mzazi...!!
mwanaume mbele huchezi nyuma hutikisiki...
najuta kuwa na kifurugobe km wewe..
katika wanaume weewe mwanaume looihh!!
wakiambiwa usimame hapa ht mshipa wa kinena haunichezii!!!
ptuuuu....hebu huko nisije tapika mie...