Bullshit
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,357
- 1,596
naombeni msahada kujua hili swala jamii,hivi unaweza kuwa na nguvu za kiume ila begu za kiume zikawa hazina nguvu ya kurutubsha yai.na ukawa na huna nguvu(unapga round moja tena dakka cahche sana) za kiume lakin mbegu zinaweza kurutubsha yai na hatimaye mwanamke kupata mimba