Veronica7598
JF-Expert Member
- Jan 2, 2017
- 361
- 408
Habari za weekend wana jamvi,
Mimi ni msichana wa miaka 26, Tatizo langu nina ujauzito wa miezi 4, ila nimekua rafu kupitiliza mpaka Mr. ananiambia mbona wajiachia sana tofauti na mimba ya mtoto wetu wa kwanza ulikua unajipenda.
Nabaki kumwambia yatapita tu, lakini mpaka mwenywe naona aibu jinsi nilivyo ovyo ovyo, yaani sijipendi kupita maelezo yani mume akitoka kazini ananiangalia anatingisha kichwa.
Msaada jamani nifanye nini niondokane na hali hii, mambo mengine shwari, mambo nampa mpaka mwenyewe ananiambia inatosha, chumba kisafi yani mambo mengine yote gudgud.
Ila tatizo mie niko ovyo, sijipendi jamani embu mnisaidie nisije tafutiwa mchepuko bure.