Hii inapendeza sana kwa wapenzi

Ummesh

JF-Expert Member
Dec 20, 2015
2,077
1,142
Obama azungumza haya kwa hisia mpaka chozi likamdondoka.

“For the past 25 years you have not only been my wife and mother of my children, you have been my best friend. You took on a role you didn’t ask for. And you made it your own with grace and with grit and with style, and good humor.”

"Kwa miaka zaidi ya 25 iliyopita, umekuwa sio tu mke wangu na mama wa watoto wangu lakini rafiki yangu mkubwa.Ulichukua jukumu ambalo hukuuliza na ukalifanya kuwa lako kwa neema , ujasiri, mipango na ucheshi mzuri. Uliifanya Ikulu kuwa sehemu ya kila mtu."

Nasi si vibaya tukiwa marafiki wakubwa wa wapenzi wetu (Ambao sio) . Tuchukue majukumu ya wenza wetu na kuyafanya ya kwetu na maisha yatakuwa raha mustarehe kwa miaka mingi. Utakumbukwa na mwenzako baada ya miaka mingi mpaka atamwaga chozi kama ilivyotokea kwa mkuu Obama.

upload_2017-1-14_19-24-27.png
 
Obama aongea haya kwa hisia mpaka chozi likamdondoka.

“For the past 25 years you have not only been my wife and mother of my children, you have been my best friend. You took on a role you didn’t ask for. And you made it your own with grace and with grit and with style, and good humor.”

"Kwa miaka zaidi ya 25 iliyopita, umekuwa sio tu mke wangu na mama wa watoto wangu lakini rafiki yangu mkubwa.Ulichukua jukumu ambalo hukuuliza na ukalifanya kuwa lako kwa neema , ujasiri, mipango na ucheshi mzuri. Uliifanya Ikulu kuwa sehemu ya kila mtu."

Nasi si vibaya tukiwa marafiki wakubwa wa wapenzi wetu (Ambao sio) . Tuchukue majukumu ya wenza wetu na kuyafanya ya kwetu na maisha yatakuwa raha mustarehe kwa miaka mingi. Utakumbukwa na mwenzako baada ya miaka mingi mpaka atamwaga chozi kama ilivyotokea kwa mkuu Obama.

View attachment 459965
Huyu jamaa mbona analia lia tu!
 
Kupenda kulitakiwa kuwe natural tu lakini watu wanaliana timing katika kupendana.

Mtu anapiga hesabu kwanza apende kwa asilimia ngapi...Hahaha
Mara eti sijui usimuonyeshe mtu kama unampenda sana....WTF

What a manufactured world we live in...
Tehe!
Obama kaonyesha mfano mzuri. Shida wanaoweza kuufuata ni wachache sana.
 
Back
Top Bottom