Je, ni njia gani unaitumia kumtathmini mwanamke uwapo Bar?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
75,222
157,413
Wengi wana namna zao tofauti za kumtathmini mwanamke aingiapo au akaapo bar. Wengi sura, huangalia umbo, mijihips, na akipita hugeuka kwa nyuma kuangalia kama ana nafsi yenye uhai.

Lakini wajanja wa mjini hawadanganyiki, huenda mbali zaidi. Huangalia mambo mengine tofauti kabisa.

Najua fika kuwa wewe ni miongoni mwa wajanja hao, Je wewe huangalia nini kabla hujabeba zigo maeneo hatarishi?

Naomba jibu lako
 
Jua linazama hilo na ukali wake....Ndicho wanachoangalia wale wenzangu wa bar.
 
Sijaelewa hii Maada
MBONA kichwa cha thread ni tofauti na yaliyomo
UNAMAANISHA kumtathamini kabla ya kuongea naye au unamtathimi afya Yake pengine anaugua.. Sijaelewa mzee bujibuji
 
Tathmini itategemea matumizi ya huyo mwanamke, kwamba nina malengo yapi naye.

Je nataka awe nani?....Rafiki wa kawaida?......manzi wa muda mrefu?.......mke?......au single night bed warmer?
Kwa malengo nitakayo mtaka kwayo vigezo vitatofautiana.
 
Nimtathimini ili iweje? Au unamaanisha ukitaka kuomba mzigo?

Ok,mimi namkazia macho na kumtazama kwa sekunde kadhaa lakini hiyo ni baada ya kuridhishwa na Mambo mengine. Nikishamkazia macho, anaona aibu na tayari ashaelewa nataka nini.

By the way, ni miaka hiyo.
 
Naangalia classy. Sio mwanamke dera kalichomeka kwenye pichu, juu fanta chini coca, anaongea bar nzima anasikika, anakunywa safar lkn ukimuagizia anabadili na kuchukua savana (mkute anakunywa henken na ukimnunulia abaki na hyohyo henken)
 
Bahati mbaya vya Bar situmii. Ngoja nipate uzoefu kwa wazoefu.
 
Back
Top Bottom