Swali: Kwanini una ndoa ila bado una michepuko?

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Sep 13, 2013
3,797
6,795
Nilishawahi muuliza baba yangu, kwanini wenye ndoa wanachepuka?

Akanijibu kwa mfano huu,"umetoka nyumbani umekula umeshiba, unapita mitaa miwili mi tatu unaskia harufu ya nyama choma kisha unaifuata, ukishafika unaagiza unakula huku kabla ya kutoka nyumbali ulikula ukashiba".

Sikumuulewa japokuwa nilimuuliza maswali mengi ila akaniambia utayaona utakapo kuwa baba. Akaniambia nioe tu wala usiogope tena umtafute mwanamke mrembo kabisa kwa sababu ni haki ya kila mwanaume hahaha japo nilicheka kwa kuzuga.

Najua kuna wenye ndoa huku embu mtueleze maana halisi ya 'ndoa'.
siku moja nilienda na mzee wangu kwenye harusi moja, tuliporudi akaniambia sijui kama itamaliza miaka miwili ile ndoa.

Embu mnieleweshe maana humu mmu kila siku ni figisu tu hamna jema mpaka mnanitisha.
 
Sheikh kama baba yako mzazi to anaekujua tangu upo tumboni kwa mama yako kakuelewesha weeeeeeeee na mifano juu hujaelewa kweli sisi tutaweza mkuu?
 
Kuchepuka au kuwa na hawara hizo ni kujiendekeza na tamaa za nafsi.
 
Mboga ya aina moja kila siku HUKINAI, lazima uwe unachanganya na mboga zingine ili life lisongee.
 
Wanaume tuna tabia za panya yaani kila siku kutoboa matobo mapya kwenye sofa
Utanielewa tu
 
Back
Top Bottom