Kwa kisa cha aina hii ingekuwa ni wewe ungefanyaje?

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
20,400
24,979
RAFIKI YAKO MPENDWA KAJA KWAKO.

AKAKUAMBIA

1.Mumeo ana mahusiano na mwanamke anayeitwaSauda. Na huyo sauda unamfahamu.. wako mahali nimewaona wanakula nyama choma na bia.

KISHA2.

Mfanyakazi wa mumeo naye akaja na kukuambia...Namtafuta mumeo atoe passport zake mbili ili akaandikiswe kupewa kiwanja .

Tulishajiandikisha ila simpati kwenye simu. Naomba passport zake nikamwakilishie asikose shamba.

Je utajishughulisha na jambo lipi kwa wakati huo.
 
shamba kwanza
 
Back
Top Bottom