Wanaume mlioko kwenye ndoa/mahusiano ya kudumu, mshawahi kupata tatizo kwa ajili ya hiki kipande?

ufyudhi

JF-Expert Member
Apr 29, 2015
772
537
Hiki kipande mshawai kukichana then mkakisahau mkaja kufumwa??? Ni kipande kidogo sana ila kina madhara na kukisahau ni rahisi.. Ushauri.. Ukichana pakti usikiondoe kbs, kiache kinaninginia..
1484539332916.jpg
 
Back
Top Bottom