Hivi hakuna mbinu mpya?

No Escape

JF-Expert Member
Mar 7, 2016
6,663
7,774
Inahitajika ubunifu wa hali ya juu wa mtu binafsi kuanzisha mahusiano,kutafuta wenza na jinsi ya kukubaliana maisha yaendeje...Hii njia ya sasa ni ya kurithi nadhani kwa nyakati hizi imepitwa na wakati ndio maana mahusiano yamekuwa na changamoto za aina mbalimbali sio waliopo kwenye ndoa wala waliopo nje ya ndoa.Binadamu wa sasa tunahitaji ubunifu wa hali ya juu kusolve hili lasivyo tuendelee kuvumiliana tu!
 
Back
Top Bottom