netti mimi
Senior Member
- Oct 10, 2016
- 147
- 109
Habarn wana jf.
Bila kupoteza muda ni mwez sasa toka nimeleta post humu ndani kuhusu uyu mwanaume alienisaliti kumbe alikuwa anamke na mtoto huko kwao...
Sasa ni hivi toka juzi mwanaume hatuliii anabembleza, analia, anatuma marafiki zake, haitoshi anadiriki kumtukana huyo mke aliezaa naye kwenye simu mbele yangu hiyo yote kurudisha mahusiano yangu na yake.
Mpaka sasa mi sijamjibu chochote nimewaza ndani ya kichwa changu nikaona jibu zuri ni kumkalia kimya tuu.
Kwasasa hali yangu imepona sina tena maumivu nasoma vizuri, nakula vizuri, naishi kwa Amani .Sijajua lengo lake huyu mwanaume nini ilhal anamtukna mzazi mwenzake,
Je mimi ambae sina ata kiumbe chake ndo ataniheshim??? Naje kama nitamjibu nimjib nini?? Kurudi nyuma mimi staki tena