Mangi flani hivi
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 2,026
- 3,104
Swalamah wakuu,
Kwa wataalamu wa hii idara naombeni mnishauri nitumie njia gani kuwasiliana na mchepuko wangu bila wife kushtukia???
Nilitumia simu kwa kupiga tu nikadakwa.
Nikatumia njia ya SMS wife akaenda aka print SMS zote akaniletea, likawa bonge la so na Noma kilo kumi.
Nikatumia fb messenger, haikuchukua muda, ikala kwangu.
Nikatumia simu ya mshikaji. Jamaa akakosea akanifowadia SMS ya mchepuko wife akaona. Nikapigwa kikao...
Natamani nitumie sanduku la posta ila mchepuko hauna address ya posta.
Nikisema niende manually haiwezekan lazima nitumie simu kupanga date.
Ushauri wadau pliziiiii